Tofauti kati ya marekesbisho "Dola-mji"

117 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
No edit summary
 
No edit summary
 
===Dola-miji ya zamani===
* [[Dola la Ujerumani]] lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni [[Hamburg]] na [[Bremen]]. Mji wa [[Berlin]] ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.
 
* Miji ya Uarabuni ilijitegemea kabisa kwa muda mrefu, kwa mfano [[Maka]] na [[Madina]]
 
* Miji ya [[Waswahili]] kwenye pwani la Afrika ya Mashariki ilikuwa dola-miji ya kujitegemea kama vile [[Mombasa]], [[Malindi]], [[Lamu]], [[Pate]] na [[Kilwa]]. Wakati mwingine utawala wao ulienea zaidi, lakini kimsingi ilikuwa kila mji unaotawala eneo lake.
 
* [[Ugiriki ya Kale]] ilikuwa na dola-miji mingi. [[Athens]], [[Sparta]], [[Korintho]] zilikuwa kwa muda mrefu miji tu pamoja na vijiji vichache. Zilijaribu kupanuka hasa Athens ilifaulu.
 
* Katika [[Italia]] ya [[nyakati za kati]] miji muhimu ilijitawala kabisa. Kati ya dola-miji iliyoweza kupanua eneo lao ni hasa [[Genova]] na [[Venesia]].