Babeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ku:Babîl
d The file Image:Detail_des_Ischtar-Tors_von_Babylon.jpg has been replaced by Image:Ish-tar_Gate_detail.jpg by administrator commons:User:Siebrand: ''Was in category "Duplicate", exact duplicate''. ''[[m:User:CommonsDelinker|Translate me
Mstari 1:
[[Image:Detail des IschtarIsh-Tors von Babylontar_Gate_detail.jpg|thumb|200px|right|Sehemu ya geti ya Ishtar ya Babeli]]
'''Babeli''' ilikuwa mji wa nyakati za kale katika [[Mesopotamia]]. Maghofu yake hupatikana karibu na mji wa kisasa wa [[Al Hillah]] ([[Irak]]) kando ya mto [[Frati]] 90 km kusini mwa [[Baghdad]]. Babeli ilikuwa mji muhimu wa Mesopotamia kwa karne nyingi na mji mkuu wa milki iliyotawala maeneo makubwa ya [[Mashariki ya Kati]]. Inatajwa mara nyingi katika [[Biblia]].