Ionia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gl:Xonia, simple:Ionia
d badiliko la jamii
Mstari 3:
[[Image:Cincinnati-life-insurance-building-detail.jpg|thumb|Mtindo wa Kiionia kwenye jengo la bima huko Cicinnati (Marekani) mnamo mwaka 1900 BK]]
 
'''Ionia''' ilikuwa eneo la kihistoria katika magharibi ya [[Asia Ndogo]] zamani za [[Ugiriki waya Kale]]. Leo hii eneo lake liko ndani ya [[Uturuki]].
 
Jina la Ionia lilitokana na Waionia waliokuwa kabila la Wagiriki waliohamia Asia Ndogo kutoka Ugiriki mwenyewe mnamo mwaka 1,000 KK na kujenga miji yao huko kama vile [[Efeso]], Mileti na Smirna ([[Izmir]] ya leo). Baadaye Ionia ilikuwa eneo walipoishi wanafalsafa muhimu kama [[Thales wa Mileti]], [[Anaximander]] oder [[Heraklito]].
Mstari 11:
{{stub}}
 
[[Category:Ugiriki waya Kale]]
 
<!-- interwiki -->