Maktaba ya Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|200px|Maktaba jinsi ilivyoonekana zamani '''Maktaba ya Aleksandria''' ilikuwa maktaba kubwa na mashuhuri ya zama za kale. Ilianzishwa mjini [[Ale...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Ancientlibraryalex.jpg|thumb|200px|Maktaba jinsi ilivyoonekana zamani]]
 
'''Maktaba ya Aleksandria''' ilikuwa maktaba kubwa na mashuhuri ya [[zama za kale]]. Ilianzishwa mjini [[Aleksandria]] katika [[Misri]] waktiwakati wa utawala wa mfalme [[Ptolemayo I]] (305–283/82 KK). Ptolemayo alikuwa jenerali mgiriki chini ya Aleksander Mkuu aliyeendleaaliyeendelea kutawala Misri na kujitangaza kama mfalme. Alichagua Aleksandria kama mji mkuu mpya na kupamba mji kwa majengo na taasisi mengi.
 
Wakuu wa maktaba walikuwa wataalamu mashuhuri kama [[Eratosthenes]] ambao mara nyingi walikuwa pia walimu wa wana wa mfalme.
 
Maktaba ililenga kukusanya vitabu vyote vilivyopatikana. Serikali ya Misri iliagiza ya kwamba kila mgeni alipaswa kuonyesha vitabu na miandiko yake yote vilichunguliwa na maafisa wa maktaba na kama haikuvimohavikuwemo bado vilinakiliwa haraka. Hata jahazi zilizoingia katika bandari zilitembelewa na maafisa wa maktaba na vitabu vyote kuchunguliwa kama kama lazima kukamatwa na kunakiliwa.
 
Mwanahistoria Mroma [[Aulus Gellius]] aliandika ya kwamba maktaba ilikuwa na vitabu 700,000 wakati wa [[Julius Caesar]].
 
Vitabu vingi viliharibiwa wakati wa vita kati ya Caesar na [[Kleopatra]].
 
Hakuna uhakika maktaba iliendleailiendelea kwa muda gani baada ya uharibifu huo.
 
 
{{DEFAULTSORT:Aleksandria, Maktaba}}
[[Category:Misri ya Kale]]
[[Category:Ugiriki waya Kale]]
[[Category:BibliothèqueMaktaba]]
 
 
 
[[ar:مكتبة الإسكندرية]]