Frederick Soddy : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d kuongeza alama ya Nobel na 'Category' |
||
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Frederick Soddy''' (2 Septemba 1877 – 22 Septemba 1956) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa alichunguza [[unururifu]]. Aliunda istilahi mpya ya [[isotopu]]. Mwaka wa 1921 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Kemia'''.
[[Category:Wanasayansi]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Kemia]]
[[de:Frederick Soddy]]
|