Camillo Golgi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuongeza alama ya Nobel na 'Category'
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Camillo Golgi''' (7 Julai 1844 – 21 Januari 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Italia]]. Hasa alichunguza mfumo wa [[neva]]. Mwaka wa 1906, pamoja na [[Santiago Ramon y Cajal]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Tiba]]
 
{{mbegu}}