Paul Ehrlich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: it:Paul Ehrlich, pt:Paul Ehrlich Modifying: eo:Paul Ehrlich
d kuongeza alama ya Nobel na 'Category'
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Paul Ehrlich''' (14 Machi 1854 – 20 Agosti 1915) alikuwa daktari na mwanakemia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Pamoja na [[Sahachiro Hata]] aligundua dawa ya kutibu [[kaswende]]. Mwaka wa 1908, pamoja na [[Ilya Mechnikov]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Tiba]]
 
{{mbegu}}