Charles Nicolle : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuongeza alama ya Nobel na 'Category'
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Charles Nicolle''' (21 Septemba 1866 – 28 Februari 1936) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Alikuwa wa kwanza kueleza jinsi ya kuenea kwa homa ya madoa madoa. Mwaka wa 1928 alikuwa mshindi wa ‘’’[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba’’’.
 
'''Charles Jules Henry Nicolle''' (21 Septemba 1866 – 28 Februari 1936) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Alikuwa wa kwanza kueleza jinsi ya kuenea kwa homa ya madoa madoa. Mwaka wa 1928 alikuwa mshindi wa ‘’’'''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba’’’Tiba'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Tiba]]
[[Category:Ufaransa]]