Udikteta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Ac.maostalin.jpg|thumb|200px|[[Mao Zedong]] na [[Josef Stalin]] walikuwa kati ya madikteta waliosababisha vifo vingi wakati wa karne ya 20]]
[[Image:Benito Mussolini and Adolf Hitler.jpg|thumb|200px|[[Benito Mussolini]] na [[Adolf Hitler]] walikuwa madiketa wa [[Italia]] na [[Ujerumani]] waliofuata mfumo wa ufashisti]]
[[Image:SabachaS Abacha.jpg|thumb|200px|[[Sani Abacha]] alikuwa dikteta wa kijeshi wa [[Nigeria]] kati ya 1993 hadi 1998]]
'''Udikteta''' ni mfumo wa utawala wa nchi ambako mtu mmoja asiyebanwa na sheria wala katiba anashika madaraka ya serikali na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.