Tofauti kati ya marekesbisho "Harold Shipman"

49 bytes removed ,  miaka 13 iliyopita
Masahihisho kadhaa!
('''Harold Shipman''' (14 Januari, 194613 Januari, 2004) alikuwa daktari na mwuuaji mfululizo wa Kiingereza. Anafikiriwa kuwa ameua takriban watu 250 ambao wote ni...)
 
(Masahihisho kadhaa!)
Wakati alivyokuwa jela, alijiua. Wengi walifurahia baada ya kusikia hayo na hata kuthubutu kusema kwamba, huo ndiyo mfano wa kuigwa kwa wauaji wa mfululizo wengine. Tukio hilo halikuwafurahisha ndugu wa watu waliouliwa ndugu za wao na kufikiria kwamba serikali inawadanganya juu ya tukio hilo.
 
Shipman alijinyonga na shuka wakati wa usiku wa kuamkia siku yake ya kuzaliwa, yaani ilikuwa saa sita na dakika ishirini ya kuamkia tarehe 14 Januari ya mwaka wa 2004. Alikutanika na mwahudumumhudumu wa gerezani na kuanza kutoka taarifa kwamba, Shipman amejinyonga katika nondo za dirisha kwa kutumia shuka la kulalia.
==Viungo vya nje==
* [http://www.the-shipman-inquiry.org.uk/ Shipman Inquiry]
[[Category:Wauaji wa Mfululizo]]
[[Category:Madaktari wa Uingereza]]
[[Category:Alumni of the University of Leeds]]
[[Category:Waliozaliwa 1946]]
[[Category:Waliofariki 2004]]