Ugaidi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
==Mfano wa tendo la kigaidi==
*Tar. 9 Agosti 1998 kundi la [[Al-Qaida]] lililipuza mabomu kwenye balozi za [[Marekani]] mjini [[Nairobi]] na [[Dar es Salaam]]. Watu 223 walikufa na zaidi ya 4,100 walijeruhiwa. Kwa njia hii Al-Qaida ilitaka kupinga matendo ya Marekani katika Somalia. Kuna madokezo ya kwamba shabaha ya nyongeza ilikuwa kusababisha mashambulio ya Marekani dhidi ya Afghanistan ambako Al-Qaida ilikuwa na kimbilio. Lakini inasemekana ya kwamba viongozi waliogopa majadiliano kati ya makampuni ya Kimarekani na serikali ya [[Taliban]] nchini Afghanistan na mashambulio dhidi ya balozi zililenga kuvurugisha majadiliano yale hivyo kuimarisha kimbilio kwa Al-Qaida.
 
Kundi la Al-Qaida haikusikia uadui dhidi ya watu wa Tanzania au Kenya lakini haikusita kuwaua wengi kwa kutumiza shabaha yake ya kutisha serikali ya Marekani.