Majadiliano:Uislamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
Sijui je mistari hii inayofuata ina nafasi gani katika wikipedia? Hapo chini ni waraka inayojaribu kuonekana kama mkristo ameandika lakini ni wazi si ya kweli. Ni wazi kabisa waraka huu umeandikwa na mtu anayependa kulalamika kuhusu uhusiano kati ya madhahebu au dini mbalimbali huko Zanzibar. Lakini hasemi wazi anatumia uwongo. Wikipedia ni mahali pa elimu isitumike ovyo na vikundi vya kisiasa kupigania vita vyao! Tena hatii sahihi yake. Sijui wengine wanasemaje lakini mimi naona heri ifutwe! --[[User:Kipala|Kipala]] 14:43, 25 Desemba 2005 (UTC)
 
huu ni upumbavu haupaswi kuwepo hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
== JE! WAISLAM ZANZIBAR INAELEKEA WAPI? ==
 
Mdau na mpenda maendeleo na amani!
***WARAKA MAALUM KWA WAKRISTO ZANZIBAR***
'''
== Why Edit =='''
 
 
Wapendwa katika Bwana
Ndugu wakristo umefika wakati tumeonelea ipo haja ya kuwaelezeni machache ili kuona maendeleo yetu na mafanikio tuliokwisha yapata hapa Zanzibar, yanaendelezwa na hayarudi nyuma kwa namna yoyote. Hapana shaka kuwa munaelewa kuwa idadi yetu hadi sasa bado ni ndogo sana na wengi wetu tungali katika kiwango na hadhi ya wahamiaji na sio Wazanzibari kama wanavyosema wenyewe.
MAFANIKIO YETU
Kabla ya kugusia yale ambayo tunahisi ndio lengo la waraka huu hapana budi kuwatajieni mambo machache ambayo tumefanikiwa kuyapata hadi sasa. Pamoja na jitihada zetu za muda mrefu bado tunapaswa tumsifu Bwana kwa msaada wake Mtakatifu, Bwana atatupa ushindi na mafanikio makuu zaidi ya haya na atawafumba macho maadui zetu wazidi kulala ili mipango yetu yote ya kuibadilisha Zanzibar kidemografia ifanikiwe katika kipindi kifupi kijacho.
Mafanikio yetu yameenea katika kila upande , uchumi, siasa, huduma za jmii, umiliki wa ardhi, ujenzi, elimu n.k. ili kupata picha kamili ni vyema kuorodhesha kwa ufupi mafanikio hayo:
1. Nafasi yetu kwa upande wa elimu imekuwa ya kuridhisha kupitia nafasi za serikali. Hivi sasa ni rahisi na limekuwa jambo la kawaida katika kila matangazo ya wito wa masomo kusikia majina ya wakristo kati ya vijana 7 hadi 10 ni lazima upate vijana wawili hadi watatu kutoka katika makanisa yetu.
2. Sambamba na nafasi za elimu vijana wetu wamekuwa wanapata nafasi nyingi za ajira katika serikali ya Zanzibar. Hali ya kutoelewana kisiasa baina ya Wazanzibari imetoa mwanya kwetu kuingiza vijana wa kikristo wenye asili ya bara kwa wingi kwani wamekuwa wanaaminika zaidi kuliko vijana wa Zanzibar.
3. hali tulioieleza juu imetuwezesha kuwa na nafasi kuwa na wakristo wengi katika nafasi za juu serikalini na katika chama tawala. Hali hii ni lazima iendelezwe katika ngazi zote kwani imekuwa ikitusaidia hasa katika kiwango cha masheha na kamati zao kwani huku ndiko kunako mambo mengi ya kila siku.
4. Tumepata fursa ya kutumia Taasisi za serikali kwa uendeshaji wa ibada zetu, hali hii imefanya tuzidi kukubaliwa na Waislamu na kuvumiliwa na inaweza kutupa nafasi ya kuwavuta katika NENO LA BWANA.
5. Kwa upande wa mashamba (vijijini) tumepata wasaa mzuri wa kununua ardhi toka kwa waislamu ambao hadi sasa bado hawajashtuka. Ardhi hizi zimetuwezesha kujenga makanisa kadhaa ambayo hapo awali hayakuwepo.
6. Idadi ya skuli na vituo vyetu (ambavyo licha ya picha ya juu kuwa haviendeshwi kwa misingi ya kikristo lakini kiukweli ni vituo vya kimisionari) vimeongezeka kwa hali ya kuridhisha. Skuli hizi ni kuanzia kwa watoto wadogo hadi vituo kama hichi kilichopo Mji Mkongwe (Stone Town Youth Centre) na zinafanya kazi vizuri katika kupandikiza mila za kikristo.
7. Sera ziliopo hivi sasa kwa upande wa uingiaji na utokaji Zanzibar imetusaidia sana katika uingiaji wetu (Wakristo) kutoka Bara na hivyo kusaidia kufuta ile imani ya kuwa Zanzibar ni kisiwa cha Waislamu na eti Wazanzibari kwa zaidi ya asilimia 99 ni Waislamu.
8. Ujaji wa Wakristo kwa wingi kutoka bara umewezesha kuongezeka kwa idadi ya mabaa na klabu za pombe. Hivi sasa nia jambo la kawaida kuona magari ya aina mbali mbali yanayomilikiwa na eti Waislamu yamebeba kreti za bia na pombe kali.
9. Kujiingiza kwetu katika Taasisi za dola katika ngazi za mitaa kumetuwezesha kupata nafasi ya kutangaza Ukristo kwa njia ya mihadhara na wakati huo huo kudhibiti mihadhara ya wazi ya waislamu kwa kutumia madai ya kashfa na kutatanisha maelewano mazuri baina ya watu wa dini tofauti.
10. Tumefanikiwa kupata viwanja vingi katika maeneo ya Mjini ambayo yangali mapya. Maeneo haya ni kama Tomondo, Mombasa, Mwanakwerekwe, n.k. ambayo tayari tumeshajenga makanisa yetu ingawaje kwa sasa hayajawa na waumini wengi wa kuyatumia nab ado yanaonekana ni matupi.
Ndugu wapendwa katika bwana,
Mafanikio hayo yasitufanye tukalewa na kusahau jukumu la kanisa la kuona kuwa utawala wa Bwana unashuka Zanzibarharaka iwezekanavyo. Kosa lolotetutakalofanya hivi sasa linaweza kuturudisha nyuma hatua kadhaa na huenda nafasi tu hii tulionayo hivi sasa tusiipate kwa karne ijayo.
Mambo ya kufanya yanayotukabili ili kuimarisha nafasi yetu na kuona yale tuliokwisha yapata hayatutoki na kufanyia dira kwa karne ijayo ni haya yafuatayo:
 
Tusahau tafauti zetu dhidi ya adui
Ingawaje tupo madhehebu nyingi lakini tunawajibika kuelewa kuwa Waislamu na Uislamu wao ni adui namba moja ambaye hatutofaulu kupambana nae mmoja mmoja. Uislamu hapa Zanzibar ni dini iliyofungamana na mila na utamaduni hivyo kila itakapowezekana tusahau tafauti zetu ndogo ndogo na hata kubwa kukabiliana nao, vyenginevyo tutarudi kama wakati wa karume
 
Tuhakikishe tunapata ardhi
Hii ni mbinu kongwe katika usambazaji ukristo. Wazee wetu walipoleta ukristo Zanzibar na katika Afrika jitihada waliyofanya ni kupata ardhi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa maeneo yetu, majengo ya hospitali, shule, zahanati, vituo vya chekechea, makanisa n.k. Tunahitaji ardhi kubwa ili kuziweka huduma hizo mahala pamoja kwa ajili ya kueneza injili ya bwana na Muokozi wetu.
 
Tununuwe nyumba na viwanja kwa ujenzi wa makanisa
Inaonekana waislamu wenye siasa kali na baadhi ya watendaji wa serikali wameanza kushtuka na ongezeko kubwa ka makanisa katika kisiwa cha unguja. Kuna dalili kuwa tunaweza kupata ugumu katika kupata viwanja kwa ajili ya makanisa. Njia tunayoweza kuitumia kwa muda huu ni kununua viwanja vitupu au nyumba za waislamu kwa bei kubwa inayowashawishi kuviuza na baadae tukaweza kuvijenga au kugeuza nyumba hizo kuwa makanisa.
 
Tujenge shule na hospitali kwa wingi
Hizi ni taasisi pekee ambazo tunaweza kuzitumia kueneza neon la bwana kwa waislamu walio wengi hapa Zanzibar. Kwa kutumia umaskini unaowakabili wengi wa wazanzibari na uchache wa huduma hizo tunaweza kujitangaza vizuri, tujitahidi kutoa huduma nzuri, kuweka vifaa vya kisasa, kuweka bei ndogo, kuweka upendo ili vituo vya waislamu au hata vile vya serikali visiweze kuvikaribia vyetu. Shule ni sehemu muhimu ya kupandikiza mafundisho yetu zaidi kwa watoto wadogo (Nursery)
 
Tunadai muda zaidi katika vyombo vya habari (Tv na Redio)
Kwa muda mrefu sasa uislamu na waislamu wamehodhi vyombo hivi vya habari mbali na kuwa siku ya ijumaa ambayo yote humilikiwa na vipindi vya kiislamu vyombo hivyo hutenga siku nyengine kadhaa kwa vipindi vya kiislamu na hata kuthubutu kutia adhana kila wakati was ala hali hii inaudhi na inatoa picha ya wazi ya serikali kupendelea uislam ingawaje kuwa haina dini. Wakati wa kusherehekea miaka 25 ya TVZ tulizungumzia suala hili lakini inaonekana halikupata mtu wa kulifanyia kazi. Sasa tuhakikishe kuwa ukristo unapata muda zaidi katika vyombo hivyo au uislamu nao upunguziwe nafasi. Tuongeze mihadhara ya wazi.
Wakati waislamu wamezuiliwa kufanya mihadhara ya wazi, sisi tujitahidi kuhakikisha kuwa mihadhara yetu inaongezeka kwa kiwango kikubwa. Kwa kuwa Waislamu hawahudhurii mihadhara hiyo, lazima tuone wakristo wa mjini na mashamba wanahamasishwa na kupatiwa nyenzo kuhudhuria. Vopaza sauti vitumike kuhakikisha neon la bwana linafika kila pahala. Mihadhara ifanyike karibu na nyumba, misikiti na kwenye viwanja vya wazi.
Tuendelee kutumia shule na sehemu za umma
Ili kuwafanya waislamu watuzoee na kuondosha chuki yao kwetu ni lazima kuendelea kutumia mashule na sehemu za Umma zilizo wazi kwa mambo yetu ya ibada kwa kipindi kirefu, hali hii inaweza kuwafanya washindwe kuona tofauti kati yetu na wao.
 
Tufanye suala la uhamiaji Zanzibar kuwa jepesi
Uzoefu unaonyesha kuwa ni jambo gumu kuwabatiza Wazanzibari waislamu. Hali hii inafanya ongezeko la wakristo kuwa dogo au halipo kabisa ukitoa wale wanaozaliwa katika familia za kikristo.
Njia pekee ya kuhakikisha ongezeko la makanisa na Taasisi zetu ni kuongezeka kwa wakristo. Jambo hili litawezekana kwa kwa kuingiza wakristo wengi kutoka Tanzania Bara au wapagani ambao tutaweza kuwabatiza kwa kutumia udugu wetu wa kikabila au asili ya Bara. Kwa kuwatumia ndugu zetu wakristo waliomo serikalini (SMZ au SMT) tuhakikishe kuwa suala la uhamiaji linabakia kuwa wazi na rahisi na linaendelea kwa kila hali.
 
Tuzuie jaribio lolote la kadi za uraia au vitambulisho.
Wakristo wanapaswa kuelewa kuwa iwapo serikali ya Zanzibar itaamua kufanya ili kuwa na vitambulisho au kadi za uraia kwa wazanzibari pekee, basi jambo hilo litaathiri sana mipango yetu ya muda mrefu kwa Zanzibar. Jitihada zozote za kuiimarisha Zanzibar kama Zanzibar na nje ya utanzania ni lazima tuelewe kuwa Uislamu utapata nguvu na kuwa tishio kwa hapa Zanzibar na hata bara. Iwapo tutawajibika kuunga mkono ni kadi za uraia na vitambulisho vya watanzania kwa ujumla na sio Zanzibar pekee.
 
Tujipenyeze vyamani na kushika nafasi muhimu.
Lazima tuelewe kuwa chama chochote cha siasa kinalenga kukamata serikali ili kiweze kutekeleza yale yanayoaminika kuwa ni mazuri kwa chama hicho. Tunapozungumzia vyama vya siasa kwa Zanzibar tunahusisha zaidi kwenye CCM na CUF. Watu wetu wamefaulu kuingia kwa wingi kwenye chama tawala na katika jumuiya zake.
 
Tupenyeze wenzetu serikalini.
Sambamba na suala tulilolielekeza juu hatuna budi kusomesha vijana wetu na kuhakikisha kuwa tunatumia kila njia na ushawishi ili kuwaingiza serikalini na hasa katika sehemu muhimu. Hii itaarahisisha kuungwa mkono mipango yetu na kupunguziwa vikwazo kwa mikakati yetu.
 
Tuunge mkono sera za utalii.
Hadi sasa wengi wa watalii wanaoingia Zanzibar hutokea nchi za kikristo. Desturi za watalii hupungana na zile za kizanzibari na hata za Kiislamu. Watalii wanasaidia kuongezeka kwa mabaa na vivazi ambavyo waislamu wanataka visivaliwe hasa na wanawake.
 
Tujenge mabaa na kuongeza pombe.
Waislamu wengi huchukia pombe na huweza kuhama iwapo duka lapombe au baa ipo karibu nao. Waislamu hatari ni wale wanaosoma na kupata muda wa kujishughulisha na dini yao. Pombe ni kitu ambacho humtoa muislamu katika Uislamu wa vitendo na kumkaribisha na Ukristo.
 
Tuwafuate wakristo waliosilimu ili tuwarudishe Ukristo.
Watu wa aina hii wanakuwa bado hawajatulia na mara nyingi huwemo katika matatizo. Pana haja ya kuwalenga watu hawa ili kuwarudisha kabla hawajatulia au kupata elimu nzuri. Matatizo yao ndio pahala pa kuanzia ili Bwana awateremshie roho ya utulivu. Uzima wa ukristo ni kuwa na wafuasi wengi kadiri iwezekanavyo.
 
Tuwafuate wanawake kwa misaada.
Jumuiya zisizo za kiserikali zinaungwa mkono duniani kote na hasa zile za wanawake na watoto, tujiweke pamoja ili tuweze kuwavuta wanawake kwa njia ya kuwasaidia.
 
Tuongeze vituo vya mafunzo ya kikristo.
Kituo cha vijana cha mji mkongwe (Sone Town Youth Center) kimekuwa kikifanya kazi yake vizuri kwani hadi sasa lengo lake la ndani bado halijaeleweka na vijana wanaohudhuria hapo kwa shughuli mbali mbali, jitihada zifanyike ili kuwa na vituo vya aina hii katika maeneo mengine. Lengo kuu liwe ni vijana na wanawake bila ya kuonesha dalili za kidini.
 
Tuwaoe wanawake wao kwa kusilimu kimajina.
Jitihada za makusudi zifanyike ili kila itakapowezekana kuwaoa wanawake wa kiislamu ili tuweze kuwabatiza baadae, njia nzuri iwapo patakuwa na ugumu ni kusilimu kiuongo ili kuruhusiwa kuwaoa wanawake wao.
 
Tuanzishe NGO’s na sisi tuwe viongozi.
Kwa kuwa hivi sasa wafadhili wameamua kuzisaidia Ngo’s moja kwa moja badala ya serikali ni lazima tujitahidi kuunda jumuiya zetu ambazo zitawashirikisha waislamu lakini uongozi wa juu ni lazima uwe mikononi mwetu. Hii itatuwezesha kuona sera zetu na malengo yetu yanatekelezwa kwa kivuli hicho.
 
Tujenge ukaribu na viongozi ili kuwadhibiti waislamu.
Mambo yetu mengi yamekuwa yanakwenda vizuri katika maeneo mbali mbali baada ya wenzetu kuwemo katika kamati za masheha, matawi ya vyma na kamati za maendeleo za maeneo mbali mbali. Hali hii ni lazima iongezeke ili udhibiti wa shughuli za waislamu uwe mzuri zaidi na wakati huo huo kuona kuwa mambo yetu yanakwenda yakiwa na baraka ya vyombo vya dola na vyama vya siasa.
 
Tuwachonganishe mashehe wenye msimamo mkali.
Mashehe wenye msimamo mkali wamekuwa ni tatizo kwa ukristo kwani wana wafuasi wengi na wamekuwa wakisema wazi na kushutumu maendeleo yetu. Mashehe hao ni lazima wachonganishwe na serikali ili hali ikiruhusu wazuiliwe kuendesha shughuli zao. Wakati tukifanya hivyo hatuna budi kuwaunga mkono mashehe wote ambao wamekuwa wakitusaidia kwa njia mbali mbali.
 
Tulenge kuifuta tabligh
Pamoja kuwa tabligh sio hatari moja kwa moja kwa ukristo lakini bado inastahili kupigwa vita kwa sababu ni aina pekee ya mihadhara ya waislamu inayoruhusiwa humu Zanzibar. Tabligh inaweza kuwazindua baadhi ya waislamu ambao ni vyema kubaki bila ya kuzinduliwa.
 
Tudai turudishiwe taasisi zetu.
Serikali ya Zanzibar bado inaonekana kuwa ngumu kurudisha katika milki ya makanisa ardhi na taasisi zetu. Dalili za huko nyuma zilionekana nzuri kwani tulifanikiwa kupata hospitali yetu ya Welezo na eneo la kiungani hata hivyopanakuwepo na ugumu wa kurudishiwa shule zetu. Kwa kuwatumia wenzetu waliomo serikalini na baraza la wawakilishi lazima tuzidishe harakati za madai ya taasisi zote zilizobaki.
 
Tulete waumini kutoka mashamba kuanza makanisa.
Hivi sasa pameibuka wasiwasi kuhusiana na wingi wa makanisa ambayo hayjapata waumini wa kuyajaza. Ili kuficha dosari hii na hoja kadhaa utaratibu uliopo hivi sasa chini ya baadhi ya makanisa ni lazima uungwe mkono. Wakristo wahamiaji wengi hufikia mashamba hivyo pawekwe na utaratibu wa kuwaleta mjini ili kujaza makanisa.
 
NENO LA MWISHO
Wapendwa katika Bwana,
Miongozo hii ni mikubwa na inaweza kuamsha baadhi ya waumini wa kikristo hasa wale ambao bado hawajampokea Roho Mtakatifu vizuri. Hata hivyo kwa uwezo wa Bwana Mungu wetu ni mpango rahisi, suala la muhimu ni haya kufahamika na kila mkristo apendae kumtumikia Bwana. Pia hatuna budi kuishukuru awamu ya nne ya serikali ya mapinduzi ambayo imefungua milango kwa ukristo kushuhudia ongezeko la makanisa
 
Bwana awe nasi.
 
Hii ilikuwa ni nukuu ya nakala ya pongezi na mikakati dhidi ya Zanzibar na utamaduni wake wa kiislam, sasa tunafanyaje ?
 
== Uislamu Zanzibar Inaelekea Wapi? ==
Return to "Uislamu" page.