Tofauti kati ya marekesbisho "Global Voices Online"

74 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
'''Global Voices''' ni mradi ulio chini ya Kituo cha Intaneti na Jamii cha Berkman ([[The Berkman Center for Internet and Society]]) kilicho chini ya Kitivo cha Sheria cha [[Chuo Kikuu cha Harvard]]. Mradi huu una [[blogu]] ambayo kazi yake ni kuandika muhtasari wa masuala yanayoandikwa na kuzungumziwa katika blogu mbalimbali duniani. Waanzilishi wa mradi huu ni [[Ethan Zuckerman]] na [[Rebecca Mackinonn]].
 
==Viungo vya nje==