Flandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: right|Eneo la Flandria katika Ubelgiji '''Flandria''' (Kiholanzi: Vlaanderen) ni jimbo la kaskazini kati ya majimbo matatu ya Ubelgiji. Lugha rasmi katika mi...
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Flandria''' ([[Kiholanzi]]: Vlaanderen) ni jimbo la kaskazini kati ya majimbo matatu ya [[Ubelgiji]]. Lugha rasmi katika mikoa 5 ya jimbo ni [[Kiholanzi]]. Idadi ya wakazi ni milioni 7. Serikali ya Flandria iko [[Brussels]] na mji mkubwa ya Flandria yenyewe ni [[Antwerpen]].
 
Kihistoria Flandria ilikuwa kubwa zaidi ikajumlisha maeneo ya Ubelgiji, Ufaransa na Uholanzi wa leo. Utamaduni wake ni Kiholanzi lakini sehemu hii ilitawaliwa kwa muda mrefu na [[Hispania]] iliyowafukuza Waprotestant wote. Mwaka 1815 Flandria pamoja Ubelgiji wote uliunganishwa na [[Uholanzi]] lakini tofauti za kidini na kiutamaduni zilisababisha mapinduzi ya Ubelgiji ya 1830 yaliyoleta uhuru wa Ubelgiji kama taifa la pekee.
 
Siku hizi Flandria ni sehemu ya Ubelgiji inayostawi vema kiuchumi. Kuna harakati ya kisiasa inayodai Flandria kuwa nchi ya pekee.