Gaborone : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eu:Gaborone, tl:Gaborone
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Gaborone 25.92305E 24.68895S.jpg|thumbnail|400px|Picha ya Angani ya Gaborone]]
'''Gaborone''' ni [[mji mkuu]] wa Botswana ikiwa na wakazi 186,000 (mwaka 2001). Iko katika kusini-mashariki ya nchi.
 
Mji huu ulianzishwa kwenye makao ya chifu [[Kgosi Gaborone]] wa [[BaTlokwa]]. Waingereza walijenga kituo kidogo cha kiutawala kando laya kijiji cha chifu. Makao haya madogo yalikua ghafla wakati wa uhuru wa Botswana ilipoamuliwa kujenga mji mkuu mpya. Botswana iliwahi kuwa na mji wake mkuu wa kikoloni ndani ya eneo la Afrika Kusini katika mji wa [[Mafeking]] ilitawaliwa na [[Uingereza]] kwa jina la "Bechuanaland Protectorate."
.
Uhuru ulipokaribia viongozi waliona haja la kuwa na mji mkuu ndani ya Botswana wakaamua kupanusha Gaborone.
 
Uhuru ulipokaribia viongozi waliona haja laya kuwa na mji mkuu ndani ya Botswana wakaamua kupanushakupanua Gaborone.
Katika muda mfupi wa miaka mitatu mnamo 1965 - 1967 pekee mji mpya ukajengwa mwenye majengo ya bunge, serikali, kituco cha umeme, shule, hospitali, polisi, posta, benki, maduka, kanisa, hoteli, kiwanda cha bia, uwanja wa michezo na nyumba 1000.
 
Katika muda mfupi wa miaka mitatu mnamo 1965 - 1967 pekee mji mpya ukajengwa mwenye majengo ya bunge, serikali, kitucokituo cha umeme, shule, hospitali, polisi, posta, benki, maduka, kanisa, hoteli, kiwanda cha bia, uwanja wa michezo na nyumba 1000.
 
Leo hii Gaborone ni mji wa kisasa kabisa inayoonyesha maendeleo ya kiuchumi wa Botswana.
Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika Kusini (Southern African Development Community (SADC)) ina makao makuu yake gaboroneGaborone. Kuna pia [[Chuo Kikuu cha Botswana]].
 
==Marejeo==