Hariri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ko:비단
No edit summary
Mstari 5:
'''Hariri''' ni uzi asilia inayopatikana kutoka kwa [[kifukofuko]] cha [[kivawi]] cha [[kipopo]] [[Bombyx mori]]. Nyuzi zake zatumiwa kwa kutengeneza kitambaa.
 
Kihistoria watu wa [[China]] walikuwa wa kwanza wenye ujuzi wa kutengeneza hariri. Kitambaa cha hariri kilipelekwa kote [[Asia]] na [[Ulaya]] kupitia [[barabara ya hariri]] na kuuzwa kwa bei kubwa.
 
Wachina walifaulu kwa karne nyingi kuteteakuficha siri ya hariri. Mwaka 555 wamonaki Wakristo walifaulu kubeba mayai ya kipopo hadi [[Bizanti]] na kuyampatia [[Kaisari]] wa [[Dola la Roma ya Mashariki]]. Tangu siku zile hariri ilitengenezwa pia katika nchi za [[Mediteranea]].
 
{{stub}}