Rhodesia ya Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Flag of Southern Rhodesia.svg|right|thumbnail|300px|Bendera ya Rhodesia Kusini]]
[[Image:Rhodesialand.png|right|thumbnail|300px|Ugawaji wa kimbari wa ardhi katika Rhodesia Kusini mnamo 1965 <br>nyeupe: ardhi ya walowezi wazungu<br>buluu:ardhi chini ya mamlaka ya makabila ya Kiafrika<br>nyekundu:ardhi ya binafsi ya Waafrika<br>kijani: ardhi ya serikali]]
'''Rhodesia ya Kusini''' ilikuwa jina la koloni ya [[Uingereza]] katika [[Afrika ya Kusini]] iliyopata uhuru kwa jina la "[[Zimbabwe]]" tangu mwaka [[1980]].
 
==Kuundwa na Cecil Rhodes==
Mstari 10:
 
==Uvamizi==
1890 kikosi cha askari 500 wa kampuni kiliingia kutoka [[Afrika Kusini]] na kutwaa nchi. 180 kati yao walikuwa walowezi walioapishwa kama askari wa "Pioneer Column" na kupewa ardhi baadaye. 300 walikuwa askari wa [[Polisi ya Kiingereza kwa Afrika ya Kusini]] (British South Africa Police) ilikuwa kiini cha polisi na jeshi la koloni ya baadaye. Kwa silaha zao za kisasa hasa [[bunduki za Maxim]] walishinda wenyeji. [[Vita ya Matabele ya 1893-1894]] ilikuwa vita ya kwanza iliyoona matumizi ya bunduki ya mtombo ya kisasa duniani. Waingereza 50 waliweza kushinda Wandebele 5,000. Hadi 1897 kampuni ilipaswa kupambana na upinzani wa kijeshi wa Wandebele na pia Washona ikawashinda.
 
Serikali ya Uingereza ilikubali ya kwamba kampuni itatawala koloni yote (pamoja na Rhodesia ya Kaskazini) kwa niaba ya [[Ufalme wa Maungano ya Britania na Eire ya Kaskazini]]. Hadi [[vita ya kwanza ya dunia]] idadi ya walowezi ikaongezeka walioanza kudai madaraka ya kujitawala kama koloni kadhaa za Uingereza zenye walowezi wazungu kwa mfano [[Afrika Kusini]], [[Kanada]] au [[Australia]].
Mstari 25:
 
==Mapambano ya uhuru kuanza==
Baada ya vita kuu ya pili wazungu wa Rhodesia waliona maendeleo mengi lakini Waafrika walianza kusikitika zaidi. [[ANC]] ya Afrika Kusini ilienea hadi Rhodesia. Mwenyekiti wake nchini tangu 1957 alikuwa kijana [[Joshua Nkomo]]. ANC ilipopigwa marufuku 1959 Nkomo akaenda Uingereza akarudi 1960 na kuunda National Democratic Party of Zimbabwe (NDP) iliyopigwa marufuku 1961 akaunda [[ZAPU]].