Hariri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
sahihisho dogo
Mstari 3:
[[Image:Khotan-fabrica-seda-d02.jpg|thumb|Mama atoa nyuzi za hariri kutoka vifungu vilivyochemshwa]]
 
'''Hariri''' ni uzi asilia inayopatikana kutoka kwa [[kifukofuko]] cha [[kivawi]] cha [[kipopokipepeo]] [[Bombyx mori]]. Nyuzi zake zatumiwa kwa kutengeneza kitambaa.
 
Kihistoria watu wa [[China]] walikuwa wa kwanza wenye ujuzi wa kutengeneza hariri. Kitambaa cha hariri kilipelekwa kote [[Asia]] na [[Ulaya]] kupitia [[barabara ya hariri]] na kuuzwa kwa bei kubwa.