Waberberi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Berbers.png|thumb|right|Maeneo penye wasemaji wa lugha za Kiberberi (Tamazight)]]
'''Waberberi''' ni wakazi asilia wa Afrika ya Kaskazini kuanzia [[Libya]] hadi [[Moroko]] na nchi za [[Sahara]]. Wenyewe wanajiita Amazigh (au: Imazighen) yaani "watu huru". Kabila lao linalojulikana hasa ni [[Watuareg]] wanaokalia maeneo ya jangwa kubwa la [[Sahara]].
 
Leo hii wamepungua kwa sababu wengi wameanza kutumia lugha ya Kiarabu wakihesabiwa kati ya Waarabu.