Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 27:
|-
|style="font-size: 1.0em;" bgcolor="#F7F5D3" |
<h3 style="font-size:150%"><em style="color:orange;font-style:normal">•</em>'''Makala maalum:''' <br><center>'''[[
[[Image:
'''Mauji ya Halaiki ya My Lai''' au '''The My Lai Massacre''' (tamka: [mi.˧˩˥'lɐːj˧˧], Thảm sát Mỹ Lai, Thảm sát Sơn Mỹ) yalikuwa mauaji ya mamia ya watu waliouawa na kikosi cha majeshi ya [[Marekani]] katika kijiji cha My Lai, nchini [[Vietnam Kusini]] mnamo tar. [[16 Machi]], [[1968]]. Katika kumbukumbu za My Lai yameorodheshwa majina ya wahanga wapatao 504.
==Mauaji ya My Lai==
Siku ile kikosi cha wanajeshi wa Marekani chini ya uongozi wa Luteni William Calley walipewa amri ya kutafuta wanamigambo ya [[Vietkong]] kijijini wakiambiwa ya kwamba Vietkong walijificha katika eneo lile. Waliambiwa ya kwamba wasingekuta watu raia mle lakini wategemee wanamigambo. Kikosi kilipoingia My Lai hawakuona wanamigambo bali wanawake, watoto na wazee watupu. Wakihofia ya kwamba Vietkong wanajificha kwenye vibanda na nyumba wanejeshi kadhaa walianza kufyatulia risasi kwenye nyumba na mauaji wa kwanza ya wanawake na watoto yalitokea kwa njia hiyo. Baada ya kusikia risasi watu walianza kukimbia kila upande na wanajeshi wengine walipiga risasi kwa wakimbiaji. Baada ya muda kidogo sehemu ya askari waliendelea kuwaua watu wote. Wakapitia nyumba kwa nyumba na kuua wajeruhiwa pia.
Wavietnam 11 waliokolewa na rubani wa helikopta ya Kimarekani aliyeona mauaji kutoka hewani. Alishuka akajaza helikopta na Wavietnam wachache waliobaki akitisha askari wenzake kuwapigia bunduki wakijaribu kuwaua. Rubani aliyeitwa Hugh Thompson alitoa taarifa kwa wakubwa wake.
*[[Mauaji ya Halaiki ya My Lai|Soma zaidi kuhusu Mauaji ya Halaiki ya My Lai.]]
<h3 style="font-size:100%"><em style="color:orange;font-style:normal">•</em>'''Ujenzi'''</h3>
[[Ujenzi]] -
|