Rhodesia ya Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Flag of Southern Rhodesia.svg|right|thumbnail|300px|Bendera ya Rhodesia Kusini]]
[[Image:Rhodesialand.png|right|thumbnail|300px|Ugawaji wa kimbari wa ardhi katika Rhodesia Kusini mnamo 1965 <br>nyeupe: ardhi ya walowezi wazungu<br>buluu:ardhi chini ya mamlaka ya makabila ya Kiafrika<br>nyekundu:ardhi ya binafsi ya Waafrika<br>kijani: ardhi ya serikali]]
'''Rhodesia ya Kusini''' ilikuwalilikuwa jina la koloni yala [[Uingereza]] katika [[Afrikanchi ya Kusini]] mwa Afrika iliyopata uhuru kwa jina la "[[Zimbabwe]]" tangu mwaka [[1980]].
 
==Kuundwa na Cecil Rhodes==
Koloni iliundwa na [[Cecil Rhodes]] aliyetwaa eneo hili pamoja na "[[Rhodesia ya Kaskazini]]" au [[Zambia]] na kuliweka chini ya Kampuni ya Kiingereza ya Afrika Kusini (British South Africa Company).
 
Rhodes aliwahi kujaribu kupata mapatano na mfalme [[Lobengula]] wa [[Wandebele]] kuhusu haki za kuchimba madini katika [[Matabeleland]]. Mfalme alikataa hadi 1888 alipokubali [[mapatano ya Rudd]]. Lobengula alidanganywa na Charles Rudd kwa njia ya mkataba huo uliokuwa msingi wa kutwaliwa kwa eneo lake kwanza na baadaye Zimbabwe yote.
 
==Uvamizi==
1890 kikosi cha askari 500 wa kampuni kiliingia kutoka [[Afrika Kusini]] na kutwaa nchi. 180 kati yao walikuwa walowezi walioapishwa kama askari wa "Pioneer Column" na kupewa ardhi baadaye. 300 walikuwa askari wa [[Polisi ya Kiingereza kwa Afrika ya Kusini]] (British South Africa Police) ilikuwa kiini cha polisi na jeshi la koloni ya baadaye. Kwa silaha zao za kisasa hasa [[bunduki za Maxim]] walishinda wenyeji. [[Vita ya Matabele ya 1893-1894]] ilikuwa vita ya kwanza iliyoona matumizi ya bunduki ya mtombo ya kisasa duniani. Waingereza 50 waliweza kushinda Wandebele 5,000. Hadi 1897 kampuni ilipaswailiweza kupambana na upinzani wa kijeshi wa Wandebele na pia Washona ikawashinda.
 
Serikali ya Uingereza ilikubali ya kwamba kampuni itatawala koloni yotelote (pamoja na Rhodesia ya Kaskazini) kwa niaba ya [[Ufalme wa MaunganoMuungano yawa Britania na Eire ya Kaskazini]]. Hadi [[vita ya kwanza ya dunia]] idadi ya walowezi ikaongezeka walioanza kudai madaraka ya kujitawala kama koloni kadhaa za Uingereza zenye walowezi wazungu kwa mfano [[Afrika Kusini]], [[Kanada]] au [[Australia]].
 
==Koloni ya kujitawala==