Britania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
maungano > muungano
Mstari 8:
Jina la Britania limetokana na [[Dola la Roma|Waroma wa Kale]] waliovamia kisiwa na kufanya sehemu ya kusini kuwa jimbo la dola lao. Jimbo la [[Britania ya Kiroma]] liliunganisha nchi za Uingereza na Welisi za leo.
 
Kisiwa chote ni sehemu ya [[Ufalme wa MaunganoMuungano]] unaoitwa mara nyingi "Uingereza" kutokana na nchi kubwa ndani yake. Lakini ufalme huu ni kubwa kushinda Britania, uko pamoja na [[Ueire ya Kaskazini]], visiwa vya [[Hebridi]], [[Orkney]] na [[Shetland]], halafu [[eneo la ng'ambo la Uingereza|maeneo ya ng'ambo]]. Hizi zote si sehemu ya Britania lakini ziko pamoja katika Ufalme wa MaunganoMuungano.
 
Visiwa katika mfereji wa Kiingereza na kisiwa cha Isle of Man viko chini ya malkia au mfalme wa Uingereza lakini si sehemu za Ufalme wa MaunganoMuungano.
Britania huitwa pia "Britania Kuu" kwa sababu ya "Britania ndogo" katika [[Ufaransa]] (Kiingereza: "Brittany"; [[Kifaransa]]: "[[Bretagne]]").
Mstari 22:
<small>'''Tanbihi:'''</small>
*<small> '''Redio Tanzania''' imependekeza neno moja la "'''Uingereza'''“ kwa ajili ya nchi, kisiwa na pia dola</small>
*<small> [[TUKI]] imependekeza maneno mawili ya '''Uingereza''' (kwa nchi pia kwa ajili ya Ufalme wa MaunganoMuungano) na '''Briteni''' (kwa ajili ya kisiwa); lakini "Briteni“ ina matatizo kwa maandishi ya kihistoria na kijiografia kwa sababu inafanana mno na jina la "Brittany“ au "Bretagne“. </small>
*<small>Makala hii inajaribu kutumia neno la "Britania“ na kusubiri michango ya wanawikipedia.</small>