Chake Chake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: de:Chake Chake
maungano> Muungano
Mstari 1:
'''Chake Chake''' ni mji mkubwa kwenye kisiwa cha [[Pemba]] ambacho ni sehemu ya [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]] ndani ya [[Jamhuri ya MaunganoMuungano ya Tanzania]]. Ni makao makuu ya [[wilaya ya Chake Chake]] katika [[mkoa wa Pemba Kusini]] (South Pemba).
 
Katika kata tatu za Chachani, Tibirinzi na Wara kuna takriban wakazi 15,000.