Raila Odinga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
maungano> Muungano |
||
Mstari 22:
Katika mafarakano ya FORD aliendelea upande wa babake katika [[Ford-Kenya]]. Baada ya kifo cha baba akagombea uongozi wa FORD-Kenya akashindwa na [[Michael Wamalwa]] akaondoka na kujiunga na chama kidogo cha National Development Party NDP akifuatwa na wabunge wengi wa chama kutoka eneo la Waluo.
==Kukaribia serikali na
Katika uchaguzi wa 1997 alimaliza nafasi ya tatu kaa mgombea wa rais baada ya Moi na [[Mwai Kibaki]]. Akaingia katika bunge kati ya vyama vya upinzani lakini akaanza kujenga maelewano na Moi na chama cha [[KANU]]. Wapinzani wake Raila walisema ya kwamba shabaha zake za kiuchumi zilikuwa sababu muhimu katika badiliko wakidai ya kwamba biashara za Raila zilisogea mbele wakati ule wa ushirioano na Moi. Watetezi wake walisema ya kwamba aliona upinzani ulikuwa umegawnyika mno akaona njia ya pekee ya kubadilisha hali ya nchi ilikuwa ushirikiano na KANU.
2001 Raila alikuwa watiri wa nishati katika serikai ya Moi akaendelea kuunganisha chama chake cha NDP na KANU akawa katibu mkuu wa chama kipya cha
==Farakano katika KANU na kuanzishwa kwa Rainbow NARC==
Kabla ya uchaguzi wa 2002 farakano likaonekana. Inawezekana Raila alitegemea kupata nafasi ya kuwa mgombea wa urais wa KANU Mpya baada ya Moi lakini rais alianza kutangaza ya kwamba chaguo lake lilikuwa Uhuru Kenyatta. Kwenye mkutano ulionthebitisha Kenyatta kulingana na mapenzi ya Moi Raila pamoja na sehemu ya viongozi wa KANU waliondoka na kujiunga na upinzani uliowahi kuunga mkono chini ya bendera ya National Alliance of Kenya (NAK).
Raila pamoja na sehemu ya viongozi wa KANU hasa Kalonzo Musyoka, George Saitoti, Joseph Kamotho waliopinga upendeleo wa Moi kwa Uhuru Kenyatta waliondoka katika chama wakatangaza kuundwa kwa harakati ya upinde wa mvua (Rainbow Movement). Walitumia chama kidogo cha Liberal Democratic Party (LDP) kama chombo cha kisheria kwa umoja wao mpya. Rainbow waliingia mara moja katika majadiliano na NAK iliyokuwa
Katika NARC Raila akasimama upande wa mgombea wa urais Mwai Kibaki. Katika kipindi hiki Raila aliendelea kuwa kiongozi wa kitaifa akitanganza "Kibaki tosha" kwa maana ya kwamba aliona Kibaki alifaa kuwa rais mpya na yeye kama Mluo aliunga mkono na mgombea Mkikuyu yaani Kibaki.
|