Mhozo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
No edit summary
Mstari 14:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Mihozo''' ni [[ndege]] wa jenasi ''Oenanthe'' na ''Saxicola''. Zamani wataalamu waliwaweka ndani ya familia ya [[mkesha|mikesha]] ([[Turdidae]]), lakini siku hizi mihozo huainiwa baina ya [[shore]] ([[Muscicapidae]]). Mihozo wana mabaka maalum meusi na meupe au mekundu na meupe kwa kiuno na mkia wao mrefu. Ndume ni maridadi kuliko jike. Hukaa chini na hula wadudu. Wanatokea nyanda kavu katika Afrika, Ulaya na Asia. Spishi zinazozaa katika nchi za kaskazini huhamia Afrika wakati wa baridi. Hujenga matago yao ndani ya mianya ya miamba au vishimo visivyotumika.
 
==Spishi za Afrika==