Paulo Diakono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 1:
‘’’Paulo'''Paulo Diakono’’’Diakono''' (takriban 720 hadi 797) alikuwa mwanahistoria aliyetoka kabila la [[Walangobardi]]. Kati ya miaka 782 na 787 aliishi ikuluni mwa mfalme [[Karoli Mashuhuri]]. Aliandika historia ya maaskofu wa mji wa [[Metz]], historia ya Walangobardi, na wasifu ya maisha ya Papa [[Gregori I]].
 
[[Category:Wanahistoria]]