Sumer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Sumer''' (au ''Shumer'', Kimisri Sangar, Bib. ''Shinar'', asili ki-en-gir) ni ustaarabu wa kale ulikuwepo katika sehemu ya kusini ya [[Mesopotamia]] (Kusini Mashariki ya [[Iraki]] ya sasa) kutoka wakati wa rekodi za mwanzo za katikati ya milenia ya nne hadi kuzuka kwa Babylonia katika mwisho wa milenia ya tatu KK. Neno “Sumerian” linamaanisha pia wazungumzaji wa lugha ya Sumerian. Sumer inachukuliwa kuwa jamii ya kwanza yenye makao ya kudumu duniani iliyoonesha sifa zote zinazohitajika ili kuitwa “ustaarabu”.
 
[[ar:سومر]]