Nasaba ya Han : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: vi:Nhà Hán
Mstari 2:
'''Utawala wa Han''' (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ulifuata utawala wa [[Qin]], na ulitangulia Dola Tatu katika [[Uchina]]. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu.
 
Watu wa [[Uchina]] huhesabu utawala wa Han uliodumu kwa mika mia nne kuwa moja ya vipindi vikuu katika historia nzima ya Uchina. Hivyo, watu wa jamii kubwa ya Uchina hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.
 
[[Category:Uchina]]