Ethiopia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: be, bn, gd, ka, pam
Mstari 65:
 
== Historia ==
[[Ufalme wa Aksum]], ulikuwa milki ya kwanza [[kutawala Ethiopia]], ulianza [[karne ya kwanza]]. Mhubiri wa dini, Mfasii [[Mani (nabihi)|Mani]] aliuweka [[Ufalme wa Aksum|Axum]] kwa utukufu, kama [[Roma]], [[Uajemi|Milki ya Wajemi]], na [[Uchina]] aliziweka milki hizi kama nchi zilizokuwa na nguvu duniani karne alioishi. Ilikuwa karne ya nne [[Anno Domini|AD]] ambapo Syro-Mgrikiri alikuwa amepotelea baharini kutokana na kuzama kwa jahazi. [[Frumentius]] alishikwa na wahebeshi nakupelekwa kotini na badaye kumhawilisha mfalme [[Ezana]] kwa [[Ukristu]]. Kwahivyo wahebeshi wakampa jina "''Abba Selama''". Mara nyingi [[karne ya sita]] Axum ilitawala eneo ya [[Yemeni]] kwa kuvuka [[bahari ya sham]].
 
Laini ya Utawala wa Aksumiti kutoka familia ya wafalme ilikatwa mara kadhaa: Kwanza na Myahudi [[Gudit | Malkia Gudit]] karne ya [[karne 950|950]], na tena na [[milki ya Zagwe ]]. Kama karne ya [[1270]], ambapo [[milki ya suleimani]] iliweza kuitawala Ethiopia, kwa kudai wao ni dhuri kutoka wafalme wa Axum. Walijiita jina ''Neguse Negest'' ("Wafalme wa Wafalme," ama [[Wafalme wa Ethiopia|Wafalme]]), Walijitambulisha kama dhuri za [[Mfame wa Israeli, Sulemani]] na [[malkia wa uhebeshi ama Sheba]].