Sokrates : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
* Pithagoras ... he was an Orphan :)
Mstari 4:
 
Maarifa mengi kuhusu Sokrates yametokea mazungumzo yaliyoandikwa na [[Plato]], mwanafunzi wake na mwanafalsafa, maandiko ya [[Zenephon]], mtu wa rika lake, [[Aristofanes]], na [[Aristotle]]. Kuna matatizo katika maandiko yanayomhusu Sokrates, hivyo sio vyema kutegemea chanzo kimoja tu. Ukitazama mambo yanayofanana baina ya maandiko, na ukaachilia mbali mambo yanayofikiriwa kuongezwa na mwandishi, Sokrates mwenyewe ataonekana.
 
* [[Pithagoras]]
 
==Viungo vya nje==