Zama za Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Zama za Kati''' zilihusisha wakati wa katikati katika mgawanyo wa kitamaduni wa historia ya Ulaya katika “zama” tatu: ustaarabu wa Zama za Kale, Zama za Kati, na Wakati wa Kisasa. Kwa kawaida, Zama za Kati za Ulaya Magharibi huhesabiwa toka mwisho wa Ufalme wa [[Roma]] Magharibi (karne ya 5) hadi kuanza kwa falme za kitaifa, mwanzo wa uvumbuzi wa ng’ambo ya Ulaya, Mwamko wa Kipagani, na Matengenezo ya [[Waprotestanti]] kuanzia mwaka [[1517]]. Mabadiliko haya yalionesha mwanzo wa kipindi cha Zama za Kisasa ambacho kilitangulia mapinduzi ya viwanda.
 
[[Image:Caen Chato cheminronde.jpg|200px|right|thumb]]
 
Zama za Kati hujulikana kama “ Kipindi cha Mediavo”, au kifupi “mediavo” (mara nyingine hutamkwa mediaevo au kihistoria, medievo).