Kitabu cha Habakuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: Wakati alipofanya kazi nabii Yeremia aliishi pia Habakuki (600 hivi K.K.), aliyeandika kitabu kifupi ambamo alithubutu kumuuliza Mungu kwa nini anaadhibu Israeli vikali kwa mik...
 
No edit summary
Mstari 3:
Jibu ni kwamba Mungu ana njia zake ambazo anaandaa ushindi wa haki: hivyo mwadilifu ataishi kwa [[imani]] yake (1:12-2:4). Usemi huo ukaja kutumika sana katika [[Agano Jipya]]. [[Mtume Paulo]] ameufanya msingi wa msimamo wake kuwa wokovu unapatikana kwa imani, si kwa kujitahidi kutekeleza masharti yote ya [[Torati]].
 
[[Category:Dini]]
[[Category:Misahafu]]
[[Category:Biblia]]
[[Category:Watu wa Biblia]]
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale|Amosi]]]
 
[[cs:Kniha Abakuk]]