Kitabu cha Habakuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Habakuki''' ni jina la [[nabii]] wa [[Israeli ya Kale]] na pia kitabu cha [[Agano la Kale]] ([[Tanakh]]) kinacholeta habari za nabii huyu.
Wakati alipofanya kazi nabii [[Yeremia]] aliishi pia Habakuki (600 hivi K.K.), aliyeandika kitabu kifupi ambamo alithubutu kumuuliza [[Mungu]] kwa nini anaadhibu [[Israeli]] vikali kwa mikono ya watu wabaya kuliko wao.