Raimond Aumann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Raimond Aumann''' (amezaliwa tar. 12 Oktoba, 1963) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa golikipa wa Bundesliga kati ya mwaka 1982 na 1994....
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Raimond Aumann''' (amezaliwa tar. [[12 Oktoba]], [[1963]]) alikuwa mchezaji wa [[mpira wa miguu]] kutoka nchini [[Ujerumani]]. Alikuwa golikipa wa [[Bundesliga]] kati ya mwaka 1982 na 1994. Kwa miaka miwili ya mwanzo alikuwa golikipa msaidizi wa [[FC Bayern Munich]] (wa kwanza kuchaguliwa alikuwa Bw. [[Jean-Marie Pfaff]]).
 
Mnamo mwaka wa 1984 akaja kuwa namba moja kwa mara ya kwanza mpaka alipokuja kuumia mnamo mwezi Novemba katika mwaka wa 1985. Pale Bw. Jean-Marie Pfaff alipoondoka katika kikosi cha [[Bayern Munich]] mnamo mwaka 1988, Raimond Aumann akawa ndiyo golikipa wa kwanza. Raimond pia
alifirika kuwa ndiyo golikipa bora wa [[Ujerumani]] kwa kipindi hicho.
==Viungo vya nje==
* [http://www.fussballdaten.de/spieler/aumannraimond/ Career stats at fussballdaten.de]