Brussels : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: szl:Bruksela
No edit summary
Mstari 3:
'''Brussels''' ([[Kifaransa]]: '''Bruxelles''', [[Kijerumani]]: '''Brüssel''') ni [[mji mkuu]] wa Ubelgiji na pia makao makuu ya ofisi za [[Umoja wa Ulaya]].
 
Kisheria jina la Brussel inatajalinataja mambo mbalimbali:
 
- '''mji wa Brussel''' mwenyewenye wakazi 142,000 kwenye eneo la 32kilometa km²za mraba 32.
 
- '''Jimbo la Brussel''' ambamo ndipo ulipo mji wa Brussels pamoja na miji 18 mingine inayojitawala ni sehemu moja tu. Sehemu hizi zote ni hali halisi kama mji mmoja mkubwa lakini kisheria kila sehemu bado ina hali yake ya pekee. Jimbo lina wakazi milioni moja. Cheo cha mji mkuu kinamaanisha jimbo lote si mji pekee yake.
 
Mji umejulikana tangu mwaka [[966]] [[BK]] lakini kuna uwezekano ya kwamba umri wake ni mkubwa.
Katika karne ya 15 BK ulikuwa mji mkuu wa utemi wa [[Brabant]] ukitajirika kutokana na karahanakarakana zake za nguo na biashara yake. Baadaye Brussel pamoja na Ubelgiji ilikuwa chini ya watawala wa nje kwanza [[Hispania]] halafu [[Uholanzi]]. Mapinduzi wa [[1830]] yalileta uhuru na Brussel ikawa mji mkuu wa taifa jipya katika [[Ulaya]]. Katika karne ya 19 mji uilikua sana katika mapinduzi ya viwandani.
 
Tangu 1958 Brussel imekuwa mji mkuu wa Ulaya kwa sababu imeteuliwa kuwa makao makuu ya ofisi za [[Umoja wa Ulaya]] - wakati ule mtangulizi wake [[Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya]]. [[1967]] makao makuu ya NATO yalifuata ikahamia baada ya fitina kati ya [[Marekani]] na [[Ufaransa]].