Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 27:
|-
|style="font-size: 1.0em;" bgcolor="#F7F5D3" |
<h3 style="font-size:150%"><em style="color:orange;font-style:normal">•</em>'''Makala maalum:''' <br><center>'''[[
[[Image:
'''Barack Hussein Obama''' (* [[4 Agosti]] [[1961]]) ni mwanasiasa nchini [[Marekani]] na tangu 2004 yeye ni [[seneta]] wa jimbo la [[Illinois]] katika bunge la kitaifa. Tangu mwaka 2007 ametafuta nafasi ya mgombea wa chama cha Demokrasia (Democratic Party) kwa uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2008.
Alipoingia bungeni alikuwa seneta wa kitaifa wa pekee Mwamerika mweusi
==Utoto na Ujana==
Baba yake Obama alikuwa Mkenya Barack Obama aliyeaga dunia 1982. Mzee Obama alitoka [[mkoa wa Nyanza]] nchini [[Kenya]] akaenda Marekani masomoni. Mama alikuwa Mwamerika mzungu Ann Dunham kutoka jimbo la [[Kansas]] aliyeaga dunia 1995. Wazazi walifunga ndoa wakati ndoa kati ya watu weupe na weusi bado ilikuwa marufuku katika sehemu za kusini za Marekani. Wazazi waliachana baada ya miaka miwili na mtoto Barack alibaki na mama.
Mama aliendelea kuolewa na mwanafunzi kutoka [[Indonesia]] akamfuata aliporudi kwake. Hivyo Barack aliishi [[Jakarta]] hadi 1971 aliporudi Marekani na kukaa na babu yake huko [[Hawaii]] hadi alipomaliza shule ya sekondari.
Barack ana dada wawili mmoja kutoka ndoa ya pili ya mamake na mmoja kutoka ndoa wa pili wa babake huko Kenya.
*[[Barack Obama|Soma zaidi kuhusu Barack Obama.]]
<h3 style="font-size:100%"><em style="color:orange;font-style:normal">•</em>'''Ujenzi'''</h3>
[[Ujenzi]] -
|