Barack Obama : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
==Utoto na Ujana==
Baba yake Obama alikuwa Mkenya Barack Obama aliyeaga dunia 1982. Mzee Obama alitoka [[mkoa wa Nyanza]] nchini [[Kenya]] akaenda Marekani masomoni. Mama yake, Ann Dunham, alikuwa Mwamerika mzungu Ann Dunham kutoka jimbo la [[Kansas]] aliyeaga dunia 1995. Wazazi walifunga ndoa wakati ndoa kati ya watu weupe na weusi bado ilikuwa marufuku katika sehemu za kusini za Marekani. Wazazi waliachana baada ya miaka miwili na mtoto Barack alibaki na mama.
 
MamaBaadaye aliendeleamama kuolewayake aliolewa na mwanafunzi kutoka [[Indonesia]] akamfuata aliporudi kwake. Hivyo Barack aliishi [[Jakarta]] hadi 1971 aliporudi Marekani na kukaa na babu yake huko [[Hawaii]] hadi alipomaliza shule ya sekondari.
 
Barack ana dada wawili, mmoja kutoka ndoa ya pili ya mamakemama yake na mmoja kutoka ndoa waya pili waya baba babakeyake huko Kenya.
 
==Masomo na kazi==
Baada ya shulekumaliza alisomasekondari alisoma siasa na sheria katika vyuo vya [[Occidental]] huko Los Angeles]], [[Columbia]] huko [[New York]] na [[Harvard]]. 1991 alimaliza kwa digrii ya dokta.
 
Baada ya digrii ya kwanza Obama aliwahi kufanya kazi ya kijamii huko [[Chicago]]. 1991 alirudi Chicago alipopata kazi katika ofisi ya wanasheria akafundisha pia kozi za sheria kwenye chuo kikuu cha Chicago.