Wanaisraeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
 
'''Wanaisraeli''' ni namna ya kutaja watu wa [[Agano la Kale]] waliokuwa wazawa wa [[YakobuYakobo]] aliyeitwa pia Israeli mmoja wa mababu wa taifa la [[Israeli ya Kale]].
 
YakobuYakobo alipewa jina la "Israeli" baada ya kushindana na Mungu kwenye [[mto Yaboki]]. Alizaa wana 12 waliokuwa mababu wa makabila 12 ya [[Israeli ya Kale]].
 
Katika maandiko ya [[Agano la Kale]] ([[Tanakh]]) makabila hawa mara nyingi huitwa "Wanaisraeli", "wana wa Israeli" au pia "watu wa Israeli".