Biblia ya Kiebrania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Biblia ya Kiebrania''' ni namna mojawapo ya kutaja vitabu vitakatifu vya [[Uyahudi]] vinavyoitwa [[Tanakh]] na [[Wayahudi]] wenyewe.
 
Vitabu hivyo, vilivyoandikwa kwa [[Kiebrania]] na sehemu ndogo pia kwa [[Kiaramu]], vinaheshimiwa pia na Wakristo kama [[Agano la Kale]] wakiamini ya kwamba ufunuo wa vitabu hivi ulikuwa hatua ya kwanza ya Mungu iliyofuatwa baadaye na hatua ya pili au "[[Agano Jipya]]" kwa ujio wa [[Masiya]] yaani [[Yesu]].
 
Kuna wataalamu Wakristo wanaopendelea kuliita vitabu vya Agano la Kale kwa jina la Biblia ya Kiebrania ili wasionekane wanavikosea heshima vitabu ambavyo kwa Wayahudi si jambo la "kale".
Mstari 9:
Hivyo kichwa cha [[Kilatini]] "Biblia Hebraica" limekuwa jina la kawaida kwa matoleo ya kitaalamu ya maandiko haya.
 
==Tofauti kati ya Biblia ya Kiebrania na Agano la Kale==
Jina hili halihusishi vitabu vingine vya lugha ya [[Kigiriki]] ambavyo viliandikwa na Wayahudi kabla ya ujio wa [[Yesu Kristo]] na kutunzwa katika tafsiri ya Kigiriki maarufu kwa jina la [[Septuaginta]].
Wakristo wengi huwa na vitabu 7 vya nyongeza katika matoleo ya Biblia nje ya idadi ya vitabu yva Kiebrania. Sababu yake ni ya kwamba Wakristo walizoea tafsiri ya Kigiriki ya Biblia ya Kiebrania iliyokuwa kawaida kati ya Wayahudi wakati wa Yesu. Tafsiri hii inayojulikana kama [[Septuaginta]] imejumlisha maandiko kadhaa yaliyotungwa kwa lugha za Kigiriki au Kiaramu. Kuanzia mwaka 100 [[BK]] matumizi ya Septuaginta yalikwishi kati ya Wayahudi wakiamua kukubali vitabu vya Biblia ya Kiebrania au Tanakh pekee katika ibada zao.
 
Lakini Wakristo waliotegemea lugha ya Kigiriki kama lugha ya mawasiliano ya kimataifa waliendelea kutumia vitabu vya Septuaginta kwa jumla. Hata hapa kuna tofauti ndogo kati ya makanisa. Kanisa katoliki limekubali vitabu saba zisizo sehemu ya orodha ya Kiebrania. Makanisa ya Kiorthodoksi yamekubali vitabu kadhaa za nyongeza kama vile kitabu cha 3 na cha 3 cha Wamakabayo. Tofauti hizi zilitokana na nakala mbalimbali zilizopatikana kwa sababu zamani vitabu havikupatikana kama vitabu vya kuchapishwa bali kama vitabu vilivyonakiliwa kwa mkono pekee.
Vitabu hivyo, vinavyoitwa pengine [[Deuterokanoni]] ni sehemu za Agano la Kale katika mapokeo ya [[Kanisa Katoliki]] na ya makanisa ya Kiorthodoksi ingawa vimekataliwa na Wayahudi kuanzia mwaka 85 hivi [[B.K.]].
 
Ila tu vitabu vyote vya Biblia ya Kiebrania hukubaliwa na Wakristo wa kila aina.