Mzee Small : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
| miaka ya kazi =
| ndoa =
| rafiki = [[Tupatupa]]<br />[[Mzee Majuto]]<br />[[Kingwendu]]
| watoto = 5
| wazazi =
Mstari 22:
Mbali na kuwa mkongwe, pia Mzee Small kila unapozungumza naye huwa na kawaida ya kujitamba kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza kabisa Tanzania Bara kuchekesha katika luninga.
 
Pamoja na kuwa yeye ndiyo mwanzilishi wa kuonyesha vichekesho kupitia luninga, lakini bado amesimama kufanya maigizo ingawaje alianza sanaa hiyo miaka 30 iliyopita na alipata kufundishwa na Bw. [[Said Seif ‘Unono’]] (ambaye kwa sasa ni marehemu).
 
Mbali na kushiriki sanaa katika vikundi mbalimbali, pia Mzee Small amecheza sanaa katika vikundi vya mashirika kama vile Reli, NASACO na mengine mengi, ambayo kwa sasa hayajihusishi tena na shughuli hizo.
Mstari 32:
Pia ameibuka na kitu kingine kiitwacho “Nani Kama Shule" huku akiwa amewashirikisha wakina [[Mzee Majuto|Majuto]], [[Kingwendu]] nawachekeshaji wengine wanaotamba sasa nchini Tanzania.
==Kundi binafsi na usanii wake==
Mzee Small anamiliki kundi lake la sanaa linalojulikana kama [[Afro Dance]] ambalo alilisajili mwaka 1994 hukokwenye [[ Baraza la Sanaa la Taifa]], BASATA, na kupata usajili rasmi mwaka huohuo wa 1994.
 
Pamoja na kuwa na uzoefu wa kisanaa, lakini bado hana mpango wowote ule wa kujiunga na kundi jingine, ila anachoweza kufanya ni kurekodi na wasanii wengine atakapoitwa kwa makubaliano maalum. Mzee Small alisema:
Mstari 39:
“Sina mpango wa kujiunga na kundi jingine wakati mimi nina kundi langu la Afro Dance, kama mtu au kikundi kinanihitaji ninachoweza kufanya ni kurekodi nao kwa makubaliano maalum, lakini sio kuchukuliwa kabisa na kundi hilo, “alisema Mzee Small.}}
 
Alisema kuwa kwa sasa anajitahidi kuboresha kazi yake na kuzisimamia katika mauzo, na wakati hana shughuli nyingi hujishikiza katika duka moja pale Kariakoo la Home Shopping Centre.
==Mafanikio na maisha binafsi==
Akizungumzia mafanikio aliyopata kutokana na vichekesho, Mzee Small alisema kwa utani “nimempata mke wandoa katika televisheni ambaye ni Bi. Chau.” Small akaelezeakaeleza:
 
{{cquote|