Christus Dominus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
lugha ieleweke hata kwa wasio wakatoliki
Mstari 1:
'''Christus Dominus''' (kilatini kwa "Kristo Bwana") ni hati ya [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] kuhusu kazi ya maaskofu.
[[Mtaguso wa pili wa Vatikano]], baada ya kufundisha wazi juu ya [[daraja]] ya maaskofu, ulitunga hati nyingine kuhusu utendaji wao katika ngazi tatu: [[Kanisa]] zima, Makanisa maalumu na ujirani mwema wa majimbo.
 
Baada ya kufundisha juu ya daraja la uaskofu katika hati ya "[[Lumen Gentium]]" mtaguso ulitunga hati hii hasa kuhusu kazi ya maaskofu katika ngazi tatu:
Kwanza [[askofu]] yeyote ni kiungo cha [[kundi la maaskofu]] ambalo linaongozwa na askofu wa [[Roma]] na kuwajibika kulichunga Kanisa zima. Wajibu huo unatimizwa kwa kushiriki [[mtaguso mkuu]], ambako ni haki ya maaskofu wote, kuchangia muundo mpya wa [[sinodi ya maaskofu]], kushughulikia kwa hali na mali [[misheni]] na majimbo yasiyo na mapadri au mali za kutosha, kuwaombea maaskofu wafungwa na wanaodhulumiwa, kuchangia katika ofisi za [[papa]].
*ngazi ya kanisa katoliki duniani
*ngazi ya kanisa katoliki ndaniy a taifa au nchi fulani
*uhusiano kati ya maaskofu kama viongizi wa majimbo (dayosisi) jirani
 
Kwanza kila [[askofu]] yeyoteatazamiwa nikuwa kiungo cha [[kundi la maaskofu]] ambalo linaongozwa na askofu wa [[Roma]] na kuwajibika kulichunga Kanisa zima. Wajibu huo unatimizwa kwa kushiriki katika [[mtaguso mkuu]], ambako ni haki ya maaskofu wote, kuchangia muundo mpya wa [[sinodi ya maaskofu]], kushughulikia kwa hali na mali [[misheni]] na majimbo yasiyo na mapadri au mali za kutosha, kuwaombea maaskofu wafungwa na wanaodhulumiwa, kuchangia katika ofisi za [[papa]].
 
Pili, ni wajibu wa baadhi ya maaskofu kuchunga kwa jina la [[Bwana]] sehemu fulani ya [[taifa la Mungu]] wakitimiza kazi za kufundisha, kutakasa na kuongoza kama wachungaji halisi, ingawa wanapaswa kuheshimu mamlaka ya papa, [[patriarki]] na maaskofu wakuu. Chini ya askofu wake jimbo ni [[Kanisa maalumu]] ambamo Kanisa pekee linaishi na kutenda. Hati hiyo inaelekeza namna ya kutimiza wajibu huo (pamoja na kuagiza utungwe mwongozo maalumu ambao ufafanue zaidi), inaagiza mipaka ya majimbo irekebishwe yasiwe makubwa mno wala madogo mno, na inaratibu uhusiano na maaskofu waandamizi na wasaidizi, nafasi ya makamu na halmashauri za askofu, uhusiano na maparoko na mapadri wengine. Suala lingine gumu ni uhusiano na watawa hasa walio mapadri, ambao wamehimizwa sana kuishi kweli kama viungo vya jimbo na kujihusisha na maendeleo yake ya Kiroho na ya kitume kwa kushirikiana na askofu, mapadri na walei pamoja na watawa wengine. Pia maaskofu wazee au wenye shida nyingine wanahimizwa kujiuzulu.