Mtaguso wa pili wa Vatikani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Maaskofu na wakuu wa mashirika kadhaa wenye haki ya kupiga kura walikuwa kama elfu tatu, wakiwakilisha karibu Kanisa lote duniani, isipokuwa nchi zile zenye kuwadhulumu Wakristo.
 
==Orodha ya hati 16 za mtaguso===
 
Zinaorodheshwa kwa kutaja HADHIkwanza hadhi ya hati, JINAhalafu LAjina KILATINIrasmi la Kilatini, KIFUPISHOkifupisho chake, YAHUSUYOmada na TAREHEtarehe ya kutolewa.
 
 
KATIBA
1. [[Sacrosanctum Concilium]] (SC) [[Liturujia]] takatifu 4-12-1963
 
2. [[Lumen Gentium]] (LG) Kanisa 21-11-1964
 
3. [[Dei Verbum]] (DV) [[Ufunuo]] wa Kimungu 18-11-1965
 
4. [[Gaudium et Spes]] (GS) Kanisa katika ulimwengu wa kisasa 7-12-1965
 
MAAGIZO
 
1. [[Inter Mirifica]] (IM) Vyombo vya [[upashanaji habari]] 4-12-1963
 
2. [[Orientalium Ecclesiarum]] (OE) Makanisa katoliki ya Mashariki 21-11-1964
 
3. [[Unitatis Redintegratio]] (UR) [[Ekumeni]] 21-11-1964
 
4. [[Christus Dominus]] (CD) Huduma ya kichungaji ya maaskofu 28-10-1965
 
5. [[Perfectae Caritatis]] (PC) Kurekebisha upya maisha ya kitawa 28-10-1965
 
6. [[Optatam Totius]] (OT) [[Malezi]] ya kipadri 28-10-1965
 
7. [[Apostolicam Actuositatem]] (AA) [[Utume]] wa walei 18-11-1965
 
8. [[Ad Gentes]] (AG) Utendaji wa kimisheni wa Kanisa 7-12-1965
 
9. [[Presbyterorum Ordinis]] (PO) Huduma na maisha ya kipadri 7-12-1965
 
MATAMKO
 
1. [[Gravissimum Educationis]] (GE) Malezi ya Kikristo 28-10-1965
 
2. [[Nostra Aetate]] (NA) Uhusiano wa Kanisa na dini zisizo za Kikristo 28-10-1965
3. [[Dignitatis Humanae]] (DH) Uhuru wa dini 7-12-1965
 
3. [[Dignitatis Humanae]] (DH) Uhuru wa dini 7-12-1965
 
==Mapokezi ya mtaguso==
Line 79 ⟶ 95:
 
Ndiyo maana ilihamasisha juhudi zifanyike ili ujumbe wa mtaguso usikilizwe upya katika kila jimbo.
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.vatican.va/archive/hist_councils/ii_vatican_council/index_it.htm Hati za Mtaguso wa pili wa Vatikano]
 
 
[[Category:Ukristo]]