Sacrosanctum Concilium : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Huko Mashariki hali ilikuwa tofauti kabisa: ndiyo sababu hati hiyo inahusu liturujia ya [[Roma]] tu, isipokuwa misingi ya liturujia yoyote na mengineyo yanayofaa hata Mashariki.
 
==SURASura YAya KWANZAkwanza==
 
Sura ya kwanza inahusu kanuni za jumla kwa urekebisho na ustawishaji wa liturujia. Kwanza inaeleza undani na umuhimu wake, halafu inasisitiza haja ya malezi ya kiliturujia kuanzia seminari na nyumba za kitawa ambapo maisha yote yafuate roho ya liturujia na masomo yote yafundishwe kwa kuonyesha uhusiano wake na liturujia ambayo ihesabiwe kati ya masomo muhimu zaidi na kufundishwa na wataalamu. Hivyo waamini wote watasaidiwa kuchota roho halisi ya Kikristo katika chemchemi hiyo ya kwanza na ya lazima; pia wataweza kushiriki ibada kwa jinsi iliyo haki na wajibu wao.
Mstari 30:
Ili kustawisha liturujia mtaguso umeagiza ziwepo kamati maalumu kitaifa na kijimbo.
 
==SURASura YAya PILIpili HADIhadi YAya TANOtano==
 
Ili kutekeleza yaliyosemwa hapo juu, sura ya pili inaagiza namna ya kurekebisha madhehebu ya Misa, sura ya tatu inafanya vilevile kuhusu sakramenti nyingine na [[visakramenti]], na sura ya nne kuhusu [[Sala ya Kanisa]]. Vitabu vyote vinavyohusika tunavyo tayari vimerekebishwa: katika kuvitumia ni muhimu kujisomea utangulizi wake.
Mstari 36:
Sura ya tano inarekebisha [[mwaka wa Kanisa]] kusudi mpango wake ueleweke zaidi bila ya kujaa mno [[sikukuu]] za [[watakatifu]]: hasa [[siku ya Bwana]] na vipindi maalumu vya mwaka vipate nafasi vinavyostahili.
 
==SURASura ZAza MWISHOmwisho==
 
Sura mbili za mwisho zinahusu [[[muziki]] na [[sanaa takatifu]] ili liturujia ipendeze kwa [[uzuri]] wake, iinue roho kwa Mungu na kuwa kielelezo cha ile ya mbinguni. Hivyo [[vipawa]] mbalimbali vya [[binadamu]] vitumike kumtukuza Mungu. Hayo yameelezwa baada ya vitabu kwa sababu hivyo vina [[neno la Mungu]] na maitikio yetu kwa neno hilo lenye kututakasa. Vilevile muziki unaelezwa kabla ya sanaa nyingine kwa sababu unaambatana na maneno matakatifu.
Mstari 46:
Sanaa nyingine pia zinaheshimiwa na kutumiwa na Kanisa kwa ujenzi, mapambo, vifaa na [[picha takatifu]]. Kadiri ya mahali na nyakati limekubali mitindo mbalimbali mradi ilingane na imani, [[maadili]] na ibada ya Kikristo. Mtaguso umeagiza maaskofu hasa wajitahidi kudumisha msimamo huo na uzuri wa yote yanayohusu liturujia, kwa kuelimisha wanasanaa na makleri.
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://www.vatican.va/archive/hist_councils/ii_vatican_council/index_it.htm Hati za Mtaguso wa pili wa Vatikano]