Wapangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 23:29, 30 Agosti 2006

Wapangwa ni kabila kutoka Milima Livingstone karibu na pwani ya mashariki ya Ziwa Nyasa, wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Iringa, kusini ya nchi ya Tanzania. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000 [1].