Melvin Schwartz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Melvin Schwartz''' (2. Novemba [[1932]] - 28. Agosti [[2006]]) alikuwa mwanafisikiamwanafizikia Mwamerika. Mwaka 1988 alipokea '''[[Tuzo ya BobelNobel]] ya Fizikia''' pamoja na [[Leon Max Lederman]] na [[Jack Steinberger]] kwa mafanikio yao ya kugundua mbinu za kushughulika ma[[neutrino]] ambazo ni chembe ndogo sana ya kinyuklia isiyo na chaji na haipasuliki.
 
Alikuwa mtoto wa mji wa New York akasoma [[Bronx High School of Science]] na [[chuo kikuu]] cha [[Columbia University]] alipokuwa mwanafunzi wa mshindi wa Tuzo Nobel [[Isidor I. Rabi]] na profesa msaidizi tangu 1958.
Mstari 5:
[[1966]] alihamia [[Stanford University]] alipokuta machine mpya ya kuharakisha mwendo wa chembe za kinyuklia iliyomsaidia kuendeleza utafiti wake.
 
[[1991]] akawa mkurugenzi msaidizi wa idara ya fizikia ya kinyuklia kwenye taasisi ya ''[[Brookhaven National Laboratory]]'' (yaani Maabara ya Kitaifa kule Brookhaven, Marekani) alipowahi kutekeleza majaribio yake ya kumpatiayaliyompatia tuzo ya Nobel baadaye. Wakati ule akawa pia profesa kamili huko Columbia.
 
Alistaafu mwaka 2000.