Waraka wa kwanza kwa Wathesaloniki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Waraka wa kwanza kwa Wathesaloniki''' ni sehemu ya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Ni barua iliyoandikwa na [[Paulo wa Tarso]] kwa Wakristo wa mji wa [[Thesaloniki]] katika [[Ugiriki ya Kale]].
 
Barua hiyo ni andiko la kwanza la [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] kwa kuwa ni wa mwaka 51 hivi.
 
Baada ya [[Sila]] na [[Timotheo]] kufika [[Korintho]] toka [[ThesalonikeThesaloniki]], walimpa [[Mtume Paulo]] ripoti kuhusu hali ya Kanisa la kule na kumuondolea wasiwasi: dhuluma zilikuwa zikiendelea lakini [[Wakristo]] wapya ni imara.
 
Kwa furaha Paulo akawaandikia barua hiyo tuliyonayo mpaka leo ambayo haina mafundisho mazito isipokuwa kuhusu mambo ya mwisho (hali ya [[marehemu]] na [[ujio wa pili wa Bwana]]).