Injili ya Luka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Injili ya Luka''' ni kitabu cha tatu katika orodha ya vitabu vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Huhesabiwa kati ya [[injili za sinoptiki]] pamoja na [[Injili ya Matthayo]] na [[Injili ya Marko]].
 
Injili ya tatu, ya [[Mtakatifu Luka]], inaendelea na kitabu cha [[Matendo ya Mitume]]: katika dibaji za vitabu vyake hivyo mwandishi anaeleza sababu na taratibu za kazi yake kwa mlengwa wa kwanza, Teofilo. Mtu huyo hajulikani, na pengine jina hilo linawakilisha msomaji yeyote, hasa kwa sababu linatafsiriwa "Mpenzi wa Mungu".