Ansgar Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Mtakatifu Ansgar''' (labda 800 – 865) alikuwa askofukutoka Ufaransa. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 3 Februari. ==Maisha== Ansgar alizaliwa Ufaransa...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:51, 27 Juni 2008

Mtakatifu Ansgar (labda 800 – 865) alikuwa askofukutoka Ufaransa. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 3 Februari.

Maisha

Ansgar alizaliwa Ufaransa mwanzoni mwa karne ya tisa. Alisoma katika monasteri huko Corbie. Mwaka wa 826 alienda kuhubiri injili Denmark. Denmark hakufanikisha sana, akaenda Uswidi. Aliteuliwa kuwa Askofu wa Hamburg, upande wa kaskazini wa Ujerumani. Pia alikuwa mjumbe wa Papa Gregori IV katika Denmark na Uswidi. Alivumilia magumu mengi sana katika kazi ya kueneza injili, lakini hakukata tamaa. Alikufa mwaka wa 865.

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1281