Sacrosanctum Concilium : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Kikao cha pili cha [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] kilipitisha hati 2 za kwanza kati ya 16.
 
Ya kwanza kabisa, iliyopitishwa tarehe [[4 Desemba]] [[1963]] kwa kura 2147 dhidi ya 4 tu, inahusu [[liturujia]] ambayo ni moyo wa [[Kanisa]] kwa kuwa ndipo linapoungana na [[Mungu]] wake na kuonekana katika sura yake takatifu.
 
Lengo la hati hiyo ni kufanya kwanza mapadri, halafu Wakristo wengine pia waelewe na kutimiza liturujia ili kwa njia yake wamtukuze kweli Mungu na kufaidika Kiroho.
 
[[Karne XX]] iliiandaa kwa kuwa wataalamu walijitahidi kwa muda mrefu kuchambua maana ya liturujia kwa jumla na ya [[ibada]] zake mbalimbali. Mapapa wote walipokea na kuagiza marekebisho kadhaa yalitopendekezwa na wataalamu hao. Lakini kazi kubwa zaidi ilikuwa bado.
 
Ma[[papa]] wote wa karne hiyo walipokea na kuagiza marekebisho kadhaa yaliyopendekezwa na wataalamu hao. Lakini kazi kubwa zaidi ilikuwa bado.
Kikwazo kikuu kilikuwa ni lugha ya [[Kilatini]] iliyokwishakufa tangu miaka elfu hivi. Muda huo wote wasomi tu waliweza kuelewa masomo na mengineyo ya liturujia. Hivyo watu wa kawaida wakawa watazamaji tu wa matendo ya ibada. Bila ya kupata mafundisho wala [[sakramenti]] ya [[ekaristi]], [[Wakristo wa Magharibi]] walijitungia ibada zao badala ya kutegemea liturujia ya Kanisa.
 
Kikwazo kikuu kilikuwa ni lugha ya [[Kilatini]] iliyokwishakufa tangu miaka elfu hivi. Muda huo wote wasomi tu waliweza kuelewa masomo na mengineyo ya liturujia. Hivyo watu wa kawaida wakawa watazamaji tu wa matendo ya ibada. Bila ya kupata mafundisho ya kutosha wala [[sakramenti]] ya [[ekaristi]], [[Wakristo wa Magharibi]] walijitungia ibada zao badala ya kutegemea liturujia ya Kanisa.
Huko Mashariki hali ilikuwa tofauti kabisa: ndiyo sababu hati hiyo inahusu liturujia ya [[Roma]] tu, isipokuwa misingi ya liturujia yoyote na mengineyo yanayofaa hata Mashariki.
 
Huko Mashariki hali ilikuwa tofauti kabisa: ndiyo sababu hati hiyo inahusu liturujia ya [[Roma]] tu, isipokuwa misingi ya liturujia yoyote na mengineyo yanayofaa hata Masharikikokote.
 
==Sura ya kwanza==
 
Sura ya kwanzahii inahusu kanuni za jumla kwa urekebisho na ustawishaji wa liturujia.

Kwanza inaeleza undani na umuhimu wake, halafu inasisitiza haja ya malezi ya kiliturujia kuanzia [[seminari]] na nyumba za kitawa ambapo maisha yote yafuate roho ya liturujia na masomo yote yafundishwe kwa kuonyesha uhusiano wake na liturujia ambayo ihesabiwe kati ya masomo muhimu zaidi na kufundishwa na wataalamu. Hivyo waamini wote watasaidiwa kuchota roho halisi ya Kikristo katika chemchemi hiyo ya kwanza na ya lazima; pia wataweza kushiriki ibada kwa jinsi iliyo haki na wajibu wao.
 
Baadaye tu yanaagizwa marekebisho ya jumla ya liturujia na vitabu vyake vyote; msingi wake ni kwamba liturujia, mbali ya mambo yaliyoagizwa na Bwana [[Yesu]], ina mengi yaliyopangwa na Kanisa lenyewe katika historia yake kulingana na mahali na nyakati mbalimbali. Kwa hiyo mara kwa mara linaweza na kupaswa kuyapanga upya kwa manufaa ya waamini.
 
Kwa kuwa liturujia ni kazi ya Kanisa lote, inaratibiwa na uongozi wake tu: wengine wasithubutu kubadilisha lolote wanapofanya ibada zake.

Hata uongozi wa Kanisa usirekebishe vitabu harakaharaka na pasipo lazima, bali uhakikishe kwamba mapya yanalingana na ya zamani.
 
Kwa namna ya pekee ni lazima neno la Mungu katika liturujia liheshimiwe linavyostahili, tena lionjwe kama ilivyokuwa mwanzoni mwa Kanisa.
 
Maagizo mengine yanatokana na hali ya kijumuia ya liturujia, yaani kwamba ibada zake si za binafsi, bali ni za Kanisa lote, na kila mmoja anahusika namna yake kama mwamini wa kawaida au kama mwenye [[daraja]] au huduma fulani. Hivyo ipendelewe ibada ya pamoja ambapo kila mmoja ashike nafasi yake na kulingana vizuri na wengine wanaoshika nafasi zao.
 
Maagizo mengine yanazingatia faida ya waamini upande wa imani ikiwa ni pamoja na kujifunza undani wa imani yenyewe. Kwa ajili hiyo mtaguso huo umeamua ibada zieleweke kwa urahisi, mapadri watoe [[hotuba]] na mawaidha mbalimbali wakati wa ibada, pia ziruhusiwe lugha hai za watu ingawa Kilatini kinabaki lugha rasmi ya madhehebu ya Kanisa la Magharibi na waamini wake wote wanatarajiwa kujua kuitikia na kuimba kwa Kilatini wakati wa [[Misa]].
 
Kwa ajili hiyo mtaguso huo umeamua ibada zieleweke kwa urahisi, mapadri watoe [[hotuba]] na mawaidha mbalimbali wakati wa ibada, pia ziruhusiwe lugha hai za watu ingawa Kilatini kinabaki lugha rasmi ya madhehebu ya Kanisa la Magharibi na waamini wake wote wanatarajiwa kujua kuitikia na kuimba kwa Kilatini wakati wa [[Misa]].
Mbali ya lugha, mtaguso umekubali yafanyike marekebisho mengine ili kupokea katika liturujia ya Roma [[utamaduni]] wa makabila yoyote mradi usipingane na [[imani]]. [[Utamadunisho]][ huo ufanyike chini ya [[Baraza la Maaskofu]] na kukubaliwa na Roma.
 
Mbali ya lugha, mtaguso umekubali yafanyike marekebisho mengine ili kupokea katika liturujia ya Roma [[utamaduni]] wa makabila yoyote mradi usipingane na [[imani]]. [[Utamadunisho]][ huo ufanyike chini ya [[Baraza la Maaskofu]] na kukubaliwa na Roma.
 
Mwisho wa sura hiyo unasisitiza umuhimu wa watu kushiriki liturujia ya [[askofu]] katika [[Kanisa kuu]] na ile ya [[parokia]] ili waamini wajisikie kweli Kanisa moja.
Line 32 ⟶ 41:
==Sura ya pili hadi ya tano==
 
Ili kutekeleza yaliyosemwa hapo juu, sura ya pili inaagiza namna ya kurekebisha madhehebu ya Misa, sura ya tatu inafanya vilevile kuhusu sakramenti nyingine na [[visakramenti]], na sura ya nne kuhusu [[Sala ya Kanisa]]. Vitabu

Kufikia vyotemiaka vinavyohusikaya 90 vitabu hivyo vyote tunavyovilikuwa tayari vimerekebishwa: katika kuvitumia ni muhimu kujisomea utangulizi wake.
 
Sura ya tano inarekebisha [[mwaka wa Kanisa]] kusudi mpango wake ueleweke zaidi bila ya kujaa mno [[sikukuu]] za [[watakatifu]]: hasa [[siku ya Bwana]] na vipindi maalumu vya mwaka vipate nafasi vinavyostahili.
Line 38 ⟶ 49:
==Sura za mwisho==
 
Sura mbili za mwisho zinahusu [[[muziki]] na [[sanaa takatifu]] ili liturujia ipendeze kwa [[uzuri]] wake, iinue roho kwa Mungu na kuwa kielelezo cha ile ya mbinguni. Hivyo [[vipawa]] mbalimbali vya [[binadamu]] vitumike kumtukuza Mungu.

Hayo yameelezwa baada ya vitabu kwa sababu hivyo vina [[neno la Mungu]] na maitikio yetuya watu kwa neno hilo lenye kututakasakuwatakasa.

Vilevile muziki unaelezwa kabla ya sanaa nyingine kwa sababu unaambatana na maneno matakatifu.
 
Mtaguso umesisitiza umuhimu wa kuimba katika liturujia, ukiagiza malezi kwa ajili hiyo, uundaji wa [[kwaya]], utungaji wa nyimbo ambazo zichote hasa katika vitabu vya [[Biblia]] na liturujia.
 
Kuhusu aina za muziki mtaguso umekubali aina yoyote inayoweza kulingana na utakatifu wa ibada; vilevile umeruhusu ala mbalimbali za kufaa.

Hata hivyo liturujia ya Roma inapendelea [[muziki wa Kigregori]] na [[kinanda cha mabomba]].
 
Sanaa nyingine pia zinaheshimiwa na kutumiwa na Kanisa kwa ujenzi, mapambo, vifaa na [[picha takatifu]]. Kadiri ya mahali na nyakati limekubali mitindo mbalimbali mradi ilingane na imani, [[maadili]] na ibada ya Kikristo.
 
Sanaa nyingine pia zinaheshimiwa na kutumiwa na Kanisa kwa ujenzi, mapambo, vifaa na [[picha takatifu]]. Kadiri ya mahali na nyakati limekubali mitindo mbalimbali mradi ilingane na imani, [[maadili]] na ibada ya Kikristo. Mtaguso umeagiza maaskofu hasa wajitahidi kudumisha msimamo huo na uzuri wa yote yanayohusu liturujia, kwa kuelimisha wanasanaa na makleri.
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.vatican.va/archive/hist_councils/ii_vatican_council/index_it.htm Hati za Mtaguso wa pili wa Vatikano katika lugha mbalimbali, kikiwemo Kiswahili]