Radha Mitchell : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {{Mwigizaji | rangi = Khaki | jina = Radha Mitchell | picha = | maelezo_ya_picha = | jina la kuzaliwa ...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 04:57, 30 Juni 2008

Radha Rani Amber Indigo Anunda Mitchell (amezaliwa tar. 12 Novemba, 1973) ni mshindi wa Tuzo ya Guild, akiwa kama mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchini Australia.

Radha Mitchell
Jina la kuzaliwa Radha Rani Amber Indigo Anunda Mitchell
Alizaliwa 12 Novemba, 1973
Kazi yake Mwigizaji

Wasifu

Maisha ya awali

Mitchell alizaliwa mjini Melbourne, Australia. Wazazi wake walitarikiana tangu yungali mdogo. Mama yake ni mwanamitindo ambaye baadaye alibadilika na kuwa mbunifu wa mavazi. Baba yake ni mtengenezaji wa filamu. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya St. Michael's Grammar School. Jina lake la kwanza, "Radha", lina asili ya Uhindu katika Uhindi, ambapo inamaana ya Mungu wa Kihindi - Krishna. Kwa upande mwingine wa jina lake linatokana na Uhindi asilia, "Rani" linamaana ya Malikia na Anunda linamaana ya furaha. Mitchell linamaana ya mboga za majani na kufanya mazoezi ya Yoga.

Filamu alizocheza

  • Sugar and Spice (2000-2008)
  • Black Trade (1995)
  • Neighbours (1994) as Cassandra Rushmore
  • Neighbours (1996–1997) as Catherine O'Brien
  • Love and Other Catastrophes (1996)
  • High Art (1998)
  • Pitch Black (2000) as docking pilot Carolyn Fry
  • Cowboys & Angels (2000) as JoJo (an angel)
  • Everything Put Together (2000)
  • When Strangers Appear (2001)
  • Phone Booth (2002)
  • Visitors (2003) as Yachtsman Georgia Perry
  • Man on Fire (2004)
  • Finding Neverland (2004)
  • Melinda and Melinda (2004)
  • Crazy in Love (2004)
  • Mozart and the Whale (2005)
  • Silent Hill (2006)
  • Pu-239 (2007)
  • Rogue (2007)
  • Feast of Love (2007)
  • The Children of Huang Shi (2008)
  • Henry Poole is Here (2008)
  • The Code (2008)
  • The Surrogates (2009)

Marejeo

  1. USA WEEKEND Magazine
  2. globeandmail.com: Arts
  3. Fast Chat: Radha Mitchell - Newsday.com

Viungo vya nje